Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,450
A42 5G Android 13Simu gani na unatumia version ipi ya android
Jaribu ku clear data hiyo app ya phone, then usiitumie hapo hapo RESTART simu then jaribu tena, ikigoma i update uone.A42 5G Android 13
Sawa mkuuJaribu ku clear data hiyo app ya phone, then usiitumie hapo hapo RESTART simu then jaribu tena, ikigoma i update uone.
Nimejaribu mkuu imeandika try againJaribu ku clear data hiyo app ya phone, then usiitumie hapo hapo RESTART simu then jaribu tena, ikigoma i update uone.
Wapigie simu mtandao husikaNimejaribu mkuu imeandika try again
Umei update...!?Nimejaribu mkuu imeandika try again
Umei update...!?
Mitandao yote inazingua maana nimeweka kwenye simu ndogo imekubali ila simu kubwa imezinguaWapigie simu mtandao husika
Phone app, ukiona bado update simu yoteNi update phone app au simu
Samsung na huu ugonjwa ni kama wamefunga nao ndoa sijui alafu una solvika kwa njia tofauti tofauti ndiyo tatizo linapoanza sasa skia nakupa methods hizi mbili kwanza.Habari za muda huu wakuu ,
Msaada jinsi ya kuset USSD zifanye kazi maana kila nikijaribu kuingia kwenye menu inaonyesha ussd code running alafu baada ya muda inaandika connection failed or mmi invalid
Sawa mkuu shukraniSamsung na huu ugonjwa ni kama wamefunga nao ndoa sijui alafu una solvika kwa njia tofauti tofauti ndiyo tatizo linapoanza sasa skia nakupa methods hizi mbili kwanza.
1. Ingia setting alafu nenda upande wa internet kaangalie kama network mode yako iko 4G/LTE ONLY itoe weka 3G au Auto na pia kama feature ya VOLTE iko OFF weka ON. Ujue simu zingine zikiwa 4G Only huwa hazikubali simu kutoka, kuingia wala USSD kurun, ujue kuna baadhi ya mitandao hasa bongo haisupport VoLTE ni Voda na TTCL pekee ndiyo wako nayo sijafatilia wengine kama wanayo ukitaka kuijua VOLTE ni nini ingia google au kwenye ChatGPT hizo watakuelewesha..
2. Hapa jaribu ku update Google Play Services hii app kwenye simu za android ikiwaga outdated huwa inaleta multifunctional kwenye baadhi ya apps make hii App ni kama MOYO wa simu sasa so nadhani unaelewa moyo kwa binadamu ukiwa una misbehave inakuaje.
Google Play services - Apps on Google Play
Google Play services - Google services for Android appsplay.google.com
Bonyeza hiyo link juu alafu ukiona neno UPDATE fanya hivyo mara moja...
Kama Google Play Services ilkua outdated na ukai update basi utaona tu inakuletea apps zingine ambazo zilikua outdated nazo uzi update pia. Unaeza ingia Playstore au App Gallery sijui ku confirm hilo kucheck kama pia dialer unaweza kuta inataka updatiwa
View attachment 3354234