Samsung na huu ugonjwa ni kama wamefunga nao ndoa sijui alafu una solvika kwa njia tofauti tofauti ndiyo tatizo linapoanza sasa skia nakupa methods hizi mbili kwanza.
1. Ingia setting alafu nenda upande wa internet kaangalie kama network mode yako iko 4G/LTE ONLY itoe weka 3G au Auto na pia kama feature ya VOLTE iko OFF weka ON. Ujue simu zingine zikiwa 4G Only huwa hazikubali simu kutoka, kuingia wala
USSD kurun, ujue kuna baadhi ya mitandao hasa bongo haisupport VoLTE ni Voda na TTCL pekee ndiyo wako nayo sijafatilia wengine kama wanayo ukitaka kuijua VOLTE ni nini ingia google au kwenye ChatGPT hizo watakuelewesha..
2. Hapa jaribu ku update
Google Play Services hii app kwenye simu za android ikiwaga outdated huwa inaleta multifunctional kwenye baadhi ya apps make hii App ni kama
MOYO wa simu sasa so nadhani unaelewa moyo kwa binadamu ukiwa una misbehave inakuaje.
Google Play services - Google services for Android apps
play.google.com
Bonyeza hiyo link juu alafu ukiona neno UPDATE fanya hivyo mara moja...
Kama Google Play Services ilkua outdated na ukai update basi utaona tu inakuletea apps zingine ambazo zilikua outdated nazo uzi update pia. Unaeza ingia Playstore au App Gallery sijui ku confirm hilo kucheck kama pia dialer unaweza kuta inataka updatiwa
View attachment 3354234