msaada jinsi ya kuserch thread ambayo imeshawai kuandikwa hapa

Naona umeshaipata hiyo Thread yako, lakini njia nzuri zaidi ni kwamba juu kabisa kwenye Desktop ya JF na tangazo lo mkono wa kulia kuna kichimba kiko wazi unajaza neno au jina linalokaribiana na unachotafuta halafu gonga Search hapo utafuta thread yako
 
Back
Top Bottom