magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,044
- 34,469
Habari za muda huu wakuu! Naomba kuuliza nawezaje kuseed file la torrent! Kuna vst nataka niidownload sasa tatizo lililopo kuna seeders mmoja tu afu ina 7gb. Nimesikia haitamaliza kudownload
kama seeders watakua wachache! Msaada wenu tafadhali!
kama seeders watakua wachache! Msaada wenu tafadhali!