Msaada jinsi ya kusave kazi kwa njia ya pdf

kiri12

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
638
558
Habari humu! Naombeni kwa anayejua kusave kazi kwa pdf,, kazi ambayo tayari ipo kwenye ms word!
 
Kama upo kwenye internet downloas save as pdf plugin then uinstall. Hiyo kazi yako ukiifungua kuwa kama u asev kawaida ila pale chini ya file name pameandikwa save as. Click down arrow choose pdf halafu click save. Done mkuu
 
Okey asanteni wandugu,, kesho ntafanya hivo namrejesho ntawaletea kama nikifanikiwa au nikikwama kwa msaada zaidi
 
Back
Top Bottom