Msaada: Jinsi ya kurudisha picha vaults

Msaada: Jinsi ya kurudisha picha vaults

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Kuna baadhi ya kumbukumbu zangu zikiwemo picha na video niliweka kwenye file la siri la application ya VAULTS, sasa kwa bahati mbaya nikazifuta pasipo kukusudia, nimefanya jitahada zote juziridisha ikiwemo kuwatumia email wamiliki wa hiyo application sijafanikiwa

Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa kurudisha hzo kumbukumbu kama itawezekana.
 
Kuna baadhi ya kumbukumbu zangu zikiwemo picha na video niliweka kwenye file la siri la application ya VAULTS, sasa kwa bahati mbaya nikazifuta pasipo kukusudia,nimefanya jitahada zote juziridisha ikiwemo kuwatumia email wamiliki wa hiyo application sijafanikiwa
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu wa kurudisha hzo kumbukumbu kama itawezekana.
Kama hukufanya backup ya files zako baada ya kuziweka kwenye Vaults basi sahau mkuu, kuna wakati nilihisi files zimepotea au kufutwa ila baadae nilitulia nikaja kuzikuta, baada ya hapo kila nikiweka kitu Vaults lazima nifanyie backup ili lolote litakalotokea ninazirudisha tu dakika sifuri
 
20200604_192859.jpg
 
Backup kwa maana ipi mkuu maana hizo kumbukumbu sikuweka pahala pengine zaidi ya hapo
Kama hukufanya backup ya files zako baada ya kuziweka kwenye Vaults basi sahau mkuu, kuna wakati nilihisi files zimepotea au kufutwa ila baadae nilitulia nikaja kuzikuta, baada ya hapo kila nikiweka kitu Vaults lazima nifanyie backup ili lolote litajalotokea ninazirudisha tu dakika sifuri
 
Nashukuru kwa mawazo mkuu ngoja nisubiri miujiza labda zinaweza rudi automatically
kama u uhakika ulifuta files husika na huku backup basi ni ngumu ku restore boss wangu
 
Nashukuru kwa mawazo mkuu ngoja nisubiri miujiza labda zinaweza rudi automatically
Usi delete App, hata mimi nilitulia kwa muda nikaja kuziona, sasa sijaelewa zilirudi zenyewe au nili overlook
 
Back
Top Bottom