Msaada jinsi ya kurudisha email yangu

Haya ndiyo majibu. Hapo Ndugu anza upya tu na uwe na mazoea ya kuingia katika mail yako regulary
 
ni miaka mingi mkuu hata sikumbuki halafu ndo email yangu tu nayotumia
In miaka mingi, mara ndo pekee unaitumia, hujui hata unachohitaji. Unapotaka kurudisha hakuna uchawi isipokuwa kufuata maelekezo wanayotoa yahoo. Kama Ku hack account yako haina thamani hiyo, kwani kama mpk inafungwa, kitu ambacho hakipo pia, hakuna kufungwa kwa account isipokuwa wanajaribu kukulinda ili asijeingia mtu asiye sahihi, wewe ulikuwa hutumii!
 
duh! hivi kuna watu bado wanatumia yahoo.
We nawe usilete kujua, email NA Facebook vinafananaje? Kama unatumia FB tu, maanaake huna LA maana unalofanya duniani
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
 
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
Nitumie email yenyewe na password uliyoitumia mara ya mwisho
 
Na je hiv inawezekana kuedit email yako baada ya kuregister na kuanza kuitumia? Mfano umesajili kwa ID ya mzaire lkn ukagindua kuwa ulifanya makosa ya spellings na sasa unataka urekebishe iwe labda mzairii.

Je inawezekana kwa Gmail?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…