Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
- Thread starter
- #21
ndio mkuuUnaikumbuka hio email??
ndio mkuuUnaikumbuka hio email??
since way back kabla ya kuja kwa simu janjaduh! hivi kuna watu bado wanatumia yahoo.
Headquarterhq ndo wapi mkuu?
Haya ndiyo majibu. Hapo Ndugu anza upya tu na uwe na mazoea ya kuingia katika mail yako regularyMiss Natafuta Important Note: Yahoo! Accounts that have been inactive for 12-months is liable to be deleted permanently. The abandoned accounts are being deleted from its server to keep the server more reliable and load-free. In this case, once deleted account will not be recovered anyhow.
In miaka mingi, mara ndo pekee unaitumia, hujui hata unachohitaji. Unapotaka kurudisha hakuna uchawi isipokuwa kufuata maelekezo wanayotoa yahoo. Kama Ku hack account yako haina thamani hiyo, kwani kama mpk inafungwa, kitu ambacho hakipo pia, hakuna kufungwa kwa account isipokuwa wanajaribu kukulinda ili asijeingia mtu asiye sahihi, wewe ulikuwa hutumii!ni miaka mingi mkuu hata sikumbuki halafu ndo email yangu tu nayotumia
We nawe usilete kujua, email NA Facebook vinafananaje? Kama unatumia FB tu, maanaake huna LA maana unalofanya dunianiduh! hivi kuna watu bado wanatumia yahoo.
naombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
Nitumie email yenyewe na password uliyoitumia mara ya mwishonaombeni msaasda wa kurudisha email yangu ya yahoo nimesahau password na namba ya simu niliyoitumia haikuwa yangu imefungiwa kitambo kuisajili tena imeshindikana
nina shida sana na hyo email
Asantehongereni endeleeni kutumia tu
we nawe facebook imeingiaje? hapa au umepiga cha arusha niniWe nawe usilete kujua, email NA Facebook vinafananaje? Kama unatumia FB tu, maanaake huna LA maana unalofanya duniani