Msaada jinsi ya kupata program hizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kupata program hizi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sumni7, Jul 10, 2012.

 1. s

  sumni7 Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hi!nmekuwa natafuta program ya 1.kutengeneza ka2ni 2.kutengeneza card jwa muda mrefu bila nafanikio naombeni msaada
   
 2. h120

  h120 JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,797
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  ya katuni nnayo ni dolar 150
   
 3. dlink

  dlink Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 15
  katuni/animations kuna programs nyingi sana, but commonly ni 3D MAX, Boris, Blender, Maya, After Effects..etc. Me nnazo hizo and many of them na pia unaweza pata tuition on how to work with it!! #PM hapo
   
 4. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,165
  Trophy Points: 280
  ninayo software ya kutengeneza katuni bei ni 65000, kadi ni 50,000. nitafute kwenye namba 0767102102, 0655308308, email.: isibingo@gmail.com
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,751
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  Kadi you mean business card au makadi ya harusi na valentine day?
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  tumia adobe after effects for cartoon, kadi unaweza tumia photoshop na illustrator ila itahitaji uwe unajua kutumia maana kama hujui utaona kama haiwezekan
   
 7. s

  sumni7 Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hizo za valentine na harus
   
 8. s

  sumni7 Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  poa ngoja nizitafute ntakuja na fdback thanx
   
 9. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kuhusu kadi Creative Suites za adobe ziko poa esp 6 japo kuipata ni ngumu bt 4 crack zinapatikana nd its also good. Cartoon well kwanza cjui uko kwenye level gan Beginner or xpert, na pia cjui wat ur interested in 2D or 3D! But if u r a beginner(i.e you hav never made any animation what so ever) Anza na 2D kwanza tena anza na hii http://pivot-stickfigure-animator.m.en.softonic.com/. Software nzuri xana inatengeneza animation za vi stick figure in the process inakupa mwanga how frames work nd stuff, kuna sample ndani yake so unaweza angalia ukajifunza. After dat kwa 2D tena kuna CS3 cs4 5 na 6 ila ngum kidogo inabidi upaint frme by frme but end results ni mind blowing samples chck hizi vids http://m.youtube.com/results?gl=US&client=mv-google&hl=en-GB&q=Animation+vs+animator&submit=Search, kuna zingine nyingi za 2D, like toon boom,pencil etc but za adobe nazikubali more. If 2D aint ur thing kuna hii hapa ya kuanzia http://anim8or.com/download/animv095c.zipukimaster fresh Blender, 3D autodesk na Maya ndo Mapapa wa 3D animations but Maya inauzwa over 2000usd ukijisajili as a studnt ndo unaipata 4 mayb alittle over 1000Bucks ambazo ni kama mil za bongo ila unaweza pata trial ya mwez uione ilivo. Brender on the other hand ni free but hizi zote sio easy kama hizo za juu hapo za kuanzia, esp Modeling inabidi twity ya nguvu. I said it 1's animation ingekua inalipa bongo ningefanya as ma Career but ndo hivo now nafanya as hobby na kuimprove ma skills u knw. CHEERS
   
 10. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  kama wataka photoshop, illustrator, after effects cs6 ncheck nnazo mm
   
 11. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 760
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 180
  Kama unazo msaidie.........
  Katika jukwaa letu hili huwa hatuuziani ila tunasaidiana tu Mkuu.....!
   
 12. EMPTY

  EMPTY JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 760
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 180
  Msaidie Mkuu....
  Ila sio tena kuombana viji senti.
  Tunasaidiana
  na wala hapa ........
  Hatuuziani
   
 13. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Wadau kinachohitajika hapa ni kusaidiana jamani masuala ya mshiko ni pale inapobidi siyo kila kitu watu wanataka pm ili watulipishe wakati madude yenyewe wanayapata bure tu!!!
  Tukianza kubaguana hapatakalika humu wakuu
   
 14. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  mimi siuzi vitu navyo download fo free akitaka nampa bure
   
 15. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  jamaaa labda amekumbuka tarehe 14 february si unajua tena wanajiita ma play boy
   
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Aug 10, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,751
  Likes Received: 7,016
  Trophy Points: 280
  hivi vitu vipo so we kazi kwako kumodify tu.
  Vitu utakavohitaji ni adobe photoshop au illustrator

  Search google mfano ''valentine day psd'' utaona zinakuja result za kutosha tu. Hakikisha neno psd lipo kwenye kitu unachosearch then open website yoyote then download hizo psd halafu open na photoshop yako kwa ajili ya kumodify.

  Mfano psd inaeza kua kama hivi
  [​IMG]

  Hapo kwenye valentine greeting unaeka message yako.

  Zipo templates nyingi maelfu ya card ni wewe tu na mda wako. Na sababu unatengeneza localy unaweza ukaeka na makadi premium yani jina la mtu linaekwa kabla card haijawa printed so itakua ni yeye tu anaeweza tumia card hilo.

  Unaweza tumia website hizi kupata card template.

  25 Free Valentine Cards PSD Templates | PSDreview

  18 Free Valentine Cards PSD Templates
   
 17. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  CAN SOMETHING LIKE THIS BE DONE BY THOSE MENTIONED ANIMATION PROGRAMS up There

  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]

  SOMEBUD SPEAK UP PLZ
   
 18. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  please. kaka bado hujaona vi2 vinavyofanywa na Maya, niliipata but ilikua trial hii software ni halali kuuzwa 2000$. Blender can do something close 2 dat nd its free(bonus) ngoja nikakuletee sample za blender kaka
   
 19. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,456
  Trophy Points: 280
  animations movie nyingi zimetengenezwa na software ambazo zimekuwa developed na ma engineer wa kampuni husika kukidhi mahitaji yao utakuta kwenye movie nzima adobe au maya imetumika sehemu ndogo tu.
  Halafu ukiangalia behind the scene za movie nying za animation zile movements wanakuwa wanazifanya watu waliowekewa vifaa maalumu kwenye sehemu za miili yao ambapo ile animation ina respond kwa hizo movements
   
 20. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Bring it Up
   
Loading...