YONA PASCAL
Member
- Jan 28, 2013
- 20
- 3
kwa anaetafuta bila kupata namba ya nida nitext kwa namba hii whatssap au nipigie simu au message nikupe namba yako ya nida 0717971798nimejaribu
kwa anaetafuta bila kupata namba ya nida nitext kwa namba hii whatssap au nipigie simu au message nikupe namba yako ya nida 0717971798nimejaribu
Hahaaaa bila shaka tuma majina yakoNilijaza fomu lakini sikupiga picha je nitapata namba yangu kwenye hio link??
mkuu vipi ulifanikiwa?Wakuu, nitapataje namba ya NIDA maana vitambulisho bado mizinguo tu.
Ahsante mngatoIngia hapo jaza details zako utapata No. Yako,https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx
Na ukitaka kuki-download hicho kitambulisho kuna option hio pia.
Pamoja mkuu.Ahsante mngato
Haifanyi kaziIngia hapo jaza details zako utapata No. Yako,NIDA Online-Services
Na ukitaka kuki-download hicho kitambulisho kuna option hio pia.
Kama hukupiga picha huwezi pata no ya Nida.Nilijaza fomu lakini sikupiga picha je nitapata namba yangu kwenye hio link??
Naomba mnisaidie Mimi kupata no ya Nida ya Mwanangu kwani amejiandikisha toka mwaka Jana .Sawa
Nimeshawasambazia wengine watatu..nao wameshapata namba.
Barikiwa Sana
Nakutafuta unisaidie mwanangu apate no yake ya Nida.kwa anaetafuta bila kupata namba ya nida nitext kwa namba hii whatssap au nipigie simu au message nikupe namba yako ya nida 0717971798
vp kuna option ya kuandika namba ya simu husika..mkuuMkuu kuna comment yako nimeiona mahala ya kuhusu huko Chato mambo ya uchaguzi, eti umeweka namba za simu halafu uka malizia kwa ajili ya teuzi, promotion etc. nimecheka sana hadi nimetoa hewa kwa njia ya chini. hahahaha