Msaada: Jinsi ya kupata namba ya NIDA

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,583
4,615
Wakuu, nitapataje namba ya NIDA maana vitambulisho bado mizinguo tu.
 
Mkuu kuna comment yako nimeiona mahala ya kuhusu huko Chato mambo ya uchaguzi, eti umeweka namba za simu halafu uka malizia kwa ajili ya teuzi, promotion etc. nimecheka sana hadi nimetoa hewa kwa njia ya chini. hahahaha
Duuuh hope hewaa nimetoka pekeyake BILA mengineyooo
 
Mkuu kuna comment yako nimeiona mahala ya kuhusu huko Chato mambo ya uchaguzi, eti umeweka namba za simu halafu uka malizia kwa ajili ya teuzi, promotion etc. nimecheka sana hadi nimetoa hewa kwa njia ya chini. hahahaha
Hio inaitwa hewa ya ukaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom