mmmmhh mbinu yako hii ni nzuri ila kumzaba kibao police mzuri vile kazi kweli ila nashukuru tafanyia kazi ushauri huMbona rahisi.Fanya yafuatayo:Mfuate siku moja akiwa barabarani,Msalimie kisha mzibue bao la uso moja,Hajakaa sawa mtama hadi aanguke chini.Hapo watu watakuzingira na kukupiga kidogo.Utapelekwa polisi,ukiulizwa kwanini umempiga askari,Wewe sema unampenda lakini yeye hakupendi.Akisikia hivyo atakuonea huruma na mwisho kukukubalia.Wana huruma sana hao ila ni wagumu kumkubali MTU.Nasubiria mrejesho najua utanishukuru tu kwa ushauri na mbinu hii.
Taabu akikusweka rumande Ijumaa kutoka kwake hadi juma linalofuata....
mie nataka njia ya kuwapata wengi wew unasema number yake tenaNitumie number zake nikuunganishie
Mbona rahisi.Fanya yafuatayo:Mfuate siku moja akiwa barabarani,Msalimie kisha mzibue bao la uso moja,Hajakaa sawa mtama hadi aanguke chini.Hapo watu watakuzingira na kukupiga kidogo.Utapelekwa polisi,ukiulizwa kwanini umempiga askari,Wewe sema unampenda lakini yeye hakupendi.Akisikia hivyo atakuonea huruma na mwisho kukukubalia.Wana huruma sana hao ila ni wagumu kumkubali MTU.Nasubiria mrejesho najua utanishukuru tu kwa ushauri na mbinu hii.
Money talks,nenda police barracks ama bar za police wakati hawajapata mshahara ama posho kwenye tarehe 19 mpaka 20 hivi.Ila kaka ukifanikiwa ukaoa jiandae kwa kuwa police ameolewa na jeshi la polisi.Atatii amri za kijeshi kuliko za kwako nyumbani.Ukikomaa utanyea debe.Pia hakuna police wa kike anataka kuwa chini ya mume.Take it or leave it!!
nenda kituoni anza kuchapa polisi makofi wote kisha watakufunga ndio ujenge nao mazoea HIYO NI NJIA RAHISI SANA......
kazi ipo.