Msaada: Jinsi ya kupanga bei za bidhaa au huduma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Jinsi ya kupanga bei za bidhaa au huduma

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Michael Amon, Feb 5, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Naombeni msaada wenu wataalam wa biashara kuhusu upangaji wa bei za bidhaa na huduma. Mimi ninataka kufanya biashara ambayo inahusiana nambo ya IT. Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu au uzoefu wa jinsi ya kupanga bei za bidhaa au huduma. Je ni vigezo gani ambavyo vinatumika katika kupanga bei za bidhaa au huduma? Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote ambaye atajitokeza kunisaidia katika hili.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Feb 5, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu katika kupanga bei za bidhaaa au huduma mbalimbali kuna mambo mengi sana ya kukosider hapa,
  Kwanza mkuu unaweza chaji bei zako kwa watu tofauti yaani kwa kada tofauti hii inakua na manufaa sana kwako wewe

  1. COST PLUS PRICING
  Hii ndo njia kuu ya kupanga bei na inayo tumiwa na wafanya baishara wengi sana dunia nzima
  Hii ni njia ambayo inatumika sana yaani unaangalia ghalama za uzalishaji theni unaongeza hapo faida kidogo mfano umezalisha kitu fulani kwa sh 50,000 basi hapo utauza 70,000.
  ILA NJII HII INA MADHARA YAKE,NI KWAMBA HAINGALII
  1 COMPETITORS WENGINE WANAFANYA NINI KWENYE SOKO
  2. HAINGALII KUBADILIKA BADILIKA KWA MAHITAJI YA HUDUMA AU BIADHAAA ZENYEWE
  3. HAINGALII NI JINSI GANI MTEJA ANACHUKULIA HUDUMA HUSIKA AU BIDHAAA HUSIKA
  SO UNAFANYAJE?

  KUNA NJIA NYINGINE ZILIZO BORA AMBAZO ZINATUMIKA KUPANGA BEI YA BIDHAA NA HUDUMA NAZO NI

  1. BEI NA UWEZAKANO WA MBADALA/ PRICE AND AVAILABILITY OF SUBSTUTE
  Je kuna mbadala wa huduma yako? mfano mimi nauza mikate na wengine wanauza mandazi je hao wa maandazi bei zao zikoje?

  2. WASHINDANI KATIKA SOKO
  - Razima uangalie washindani wako wa IT wana fanya nini na je wewe ni nini cha ziada utakacho fanya kwenye huduma yako?

  3. KIPATO CHA WATEJA
  - Je wateja wako watamudu bei za huduma yako? lazima uangalie kama watamudu au la

  4. JE KUNA GHALAMA ZINGINE ZA ZIADA KWA MTEJA?
  rAZIMA UANGALIE KAMA KUNA GHALAMA ZINGINE AU BEI YAKO NDO YA MWISHO?
  Mfano: Mteja akinunu gari bado kuna ghalama zingine kama kodi ya serikari, Bima, leseni mbalimbali na kazalika

  4. MAZINGIRA YA SOKO/MARKET ENVIROMENTAL
  - Razima uangalie mazingira ya soko ya koje, je kuna uhitaji mkubwa sana wa huduma hiyo unayo toa? je uhitaji unapungua?
   
 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Feb 5, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Asante sana mkuu kwa ushauri wako mzuri. nitaufanyia kazi huu ushauri wako na ninatumai maelezo yako yatanisaidia na kuifanya biashara yangu kuwa ya mafanikio.
   
 4. N

  Njele JF-Expert Member

  #4
  Feb 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Njia nyepesi na ya wazi kabisa ambayo ndiyo inayotumiwa na wafanyabiashara duniani kwa ufahamu wangu na:
  • Wafanyabiashara,
  • Chamber of commerce
  • Mfumo wa business plan ambazo makampuni na biashara binafsi hufanya
  Hivyo utaratibu wea kawaida ni 15 - 30% ya ya gharama ya bidhaa baada ya kufika eneo la kufanya biashara kama ni rejareja.
  Kama unafanya biashara ya juma ujue mnagawana faida na mnunuzi wa jumla hivyo itakuja angukia 12 - 20%.

  Sababu ya tofauti ya bidhaa za rejareja na jumla ni kutokana na bidhaa za jumla kupungua gharama ya storage pia.

  Cha msingi utaratibu wa kutofautiana kutengeneza bidhaa zako inategemea na soko lake.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  Mkuu razima uangalie na factor zingine, huwezi tumia cost- plus pricing yenyewe, hiyo njia inapingwa sana kutokana na kuto kuweka maanani maswala mengine kama competotors, Demand, purchasing power na kazalika
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Duuuuuuuuuu! bonge la desa, hapa nalikopi na kupesti kiulainiiiiiiiiiii, nami kesho nikaandae yangu. Leo nimetoka na kitu muruwaaaaaaaaaaa humu jf. Asant muulizaji na mlotoa majibu, mweeeeeeee!
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  U are welcome mkuu.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Charge as much as mteja yuko teyari kulipa, hakuna maana kucharge cost + 15% wakati mteja yuko teyari kulipa cost + 300% Now kugundua mteja yuko teyari kulipa kiasi gani ndo inaweza kuwa tatizo, unaweza ukawauliza wateja au unaweza kucheki washindani wako wanacharge kiasi gani na uwatumie kama kipimo cha kupanga bei yako.
   
 9. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Chukua gharama za uzalishaji wa iyo bidhaa then plus 20% margin kama soko lina ushindani sana kama halina unaweza ata gonga 50% margin
   
 10. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Umenifurahisha sana Kamanda.
  Na huu ndio ubepari halisi lakin kama soko liko regulated itakuwa ngumu kufanya hivyo. Hata hivyo ni vyema ungeweka na mazingira ya equilibrium price ili YM asije akaharibu biashara. Na hapa nadhani yale mawazo ya Komandoo hapo juu yana mantiki sana ingawa kuna technical mistake ndogo hasa ukijiegemeza kwenye upande wa product costing
   
 11. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Shukrani sana mkuu kwa maelezo yako. Nitayafanyia kazi.
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu.
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Usemayo ni kweli kabisa mkuu. Nitayafanyia kazi mawazo yako.
   
 14. d

  daniel mwasemele Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ili kupanga bei ya bidhaa au huduma (service ) inabidi kujua level ya maisha katika eneo husika la biashara au huduma kwa kuangalia incomes za watu katika eneo hilo, ili kujua % kubwa ni matajiri , level yakati au watu wa hali ya chini ! Ukizingatia hii utapata kupanga bei nzuri na yenye faida coz mfano umepanga bei kubwa kumbe level ya maisha kwenye hilo eneo ni yachini so utakosa wateja !
   
 15. k

  kotinkarwak JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu umeshafafanua ni sekta ipi unamipango kuingia: IT, inategemea kama utakachouza ni product au ni service. Hapo bei basi itakuwa tofauti.
  kama ni product, basi utafuata mfumo wa cost-plus kwani hapo hapo inabidi urudishe costs zako na kupata profit margin yako.
  Kama unachouza ni service, basi, utaangalia initial costs kwako ku'implement hiyo service, na kuona kama kuna ulazima wa ku'recover costs zote kwa mpigo au utazi'distribute over the term of the service.
  Mfano, Kama utatoa service ya PC Support, basi mteja atalipa kwa mwezi/miezi sita/mwaka, na hiyo contract kuwa renewed over time. Hapo basi utaamua ni kiasi gani kila mwezi utarudisha costs, na kuasi gani itakuwa faida.

  Wengine wameongea kuhusu environment yenyewe, kwa hivyo bei ambayo mteja anaweza kuimudu pia itakusaidia kupata figures zipi za kuanzia.

  Andika hapa chini bei yako ukiilinganisha na vitu hivi viwili


  My Product Tray ya mayai Petro (litre) Mkate Soda maji (330ml)
  ----------- -------------- ----------- ------ ------ -------
  XYZ 5500 2150 850 650 300

  Hapo factor of 0 - 65% inaweza kutumika kuangalia affordability vs disposable income kwa a basic product/service
  A factor of 65 - 150% can be used for a high end product/service.
  If you find yourself needing to charge more than double the cost + plus, ujue it has to be a very exceptional product/service ambayo mtu mwingine kuiingilia ni vigumu kidogo.
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mkuu nashukuru sana kwa mawazo yako mazuri. Ila kuanzia hapo nilipoweka red sijapaelewa vizuri. Unaweza ukanifafanulia kiundani maana mimi sio mtaalamu sana wa haya mambo.
   
 17. Kibishi

  Kibishi JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2014
  Joined: Nov 17, 2013
  Messages: 812
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 80
  Na kwanini maduka karibia yote bei zinafanana?,tuwekane sawa hapa.
   
Loading...