Msaada Jinsi ya kuondoa kikomo cha speed ya internet.

Big TIMERS

Senior Member
Dec 5, 2018
120
140
Matumuzi ya KASI ya internet yamefika kikomo endelea kufurahia matumizi ya kawaida. huu ujumbe huwa unanikasirisha sana. Mwenye utaalamu anifahamishe jinsi ya kuondoa huo ukomo wa kasi, internet ibaki na kasi ileile. Natumia moderm ya halotel.
 
Nafikiri ni kifurushi chako kinakuwa kimeisha au kinakaribia kuisha maana pale kinapokuwa kipya huwa wanakupa kasi ya hatari lakini kinapokalibia kuisha wanapunguza speed ya internet ili kisiishe mapema zaidi angalau kiweze kuchelewa kuisha ndo ninavojua mimi na hii ni kwa karibu mitandao yote ndio maana ukijiunga kifurushi mwanzoni unaweza kuona speed kubwa lakini kikibakiza mb chache inapungua speed ni. Kwa ajili hiyo ngoja wa watalaam wengine waje watueleze zaidi.
 
najiungaga kifurushi cha wiki. wanatoa 1GB ya kasi ikiisha hiyo ni mwendo wa kuchechemea na kasi ya kawaida mpaka wiki iishe
 
Back
Top Bottom