Kaka chief na wenzako mi nna ttzo moja kwenye s4 yangu yaani haisomi kbsa 3g nimejaribu kila njia nimeshindwa naomba unisaidie kaka yaani inasoma E
tu .Ni hilp tu
Asnte kaka huko kote nimeenda na nkiweka Wcdma only hata bar zote znatoka
Shukran. ..wapo wa2 wengi tu wana mtandao kma wangu na wanatumia 3g....hii ni I9505
Hamna sehemu yoyote kumeandikwa t-mobile? Maana wabongo wanapenda sana kushkisha watu na hizo simu
Yaani kiukweli hakuna hata sehemu moja iliyoandikwa t-mobile