Msaada: Jinsi ya kumripoti mkwepa kodi

Msaada: Jinsi ya kumripoti mkwepa kodi

Nyinyi ndio watu msio na ajira mnaanda thread za kipuuz ww unalipa kodi vipato vidogp kodi kubwa tunalipaje.
 
Nimeenda kwa MUHINDI nimenunua blender ya thamani ya 120,000/=akaniuzia kwa 105000/= akanipa electronic receipt Yenye thamani ya 120,000/=

Sijamuelewa kabisa
Huyo kakupunguzia 3900/-
105000*1.18=123900. Yaani 105,000 plus Vat.
 
Back
Top Bottom