Msaada jinsi ya kumpata mume wa kizungu

Msaada jinsi ya kumpata mume wa kizungu

Kama wewe ni uko kama mm huwezi kumpata.kirahis labda muujiza.

Sinywi pombe na sijawai
situmii sigara
sijawahi kwenda club
sivai manguo ya matobo ka zile suluari za matobo
sina kampani za ajabu (wanaopenda kutokatoka hasa kila weekend)
sijui kuigiza maisha. Yaan fulani kafanya hivi nami vile

Kama una sifa hizi hupati ng'ooo kinyume chake ndo wanapata kirahisi hasa wanywa pombeeeee
 
Kama heading inavyojieleza,

Kweli natamani nipate mume wa kizungu, si kwamba siwapendi kaka zangu no ni kwamba niliyekuwa nae kweli amenichosha mpaka nimeyachukia mapenzi ndo maana nataka nibadilishe labda nitaenjoy.

Naombeni mnielekeze jinsi ya kumpata huyu mtu am serious jamani

NB: Matusi na kejeli sipendi kama huna msaada pita tu kimya kimya
Wasikudanganye we ingia play store ""download mme wa kizungu"" utampata tuu usihofu.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom