Msaada jinsi ya kumpata mume wa kizungu

hopeglory

Senior Member
Sep 3, 2017
189
162
Kama heading inavyojieleza,

Kweli natamani nipate mume wa kizungu, si kwamba siwapendi kaka zangu no ni kwamba niliyekuwa nae kweli amenichosha mpaka nimeyachukia mapenzi ndo maana nataka nibadilishe labda nitaenjoy.

Naombeni mnielekeze jinsi ya kumpata huyu mtu am serious jamani

NB: Matusi na kejeli sipendi kama huna msaada pita tu kimya kimya
 
Hao watu wana kamchezo kinaitwa 3some kuna siku itakuhusu hio. Pia kuna kamchezo kinaitwa toast salad basi jitayarishe tu na hayo mambo.:D:D
 
Kama mweusi kakuchosha huwezi kaa na mzungu
Jiandae na mapenzi mna rekodi wakija marafiki zake anawaonyesha!Wana mambo ya ajabu mno hao wazungu
 
KY itakuhusu kabisa...

Kwahio wazungu wote wanatabia sawa? Mfano Waingereza wote 70m wanatabia hizo? Au french,swedish,denish,dutch,polish wote wana tabia sawa?
 
Kila la heri mamy umpate huyo mzungu humtakaye na pole kwa kutendwa unatakiwa ujue tu wanaume wote ni hivyo hivyo hakuna cha mzungu wala mswahili
 
Najua unatafuta pesa wala siyo mapenzi (ni sehemu ya kujikwamua na umasikini). Nakushauri, panda pipa uende ulaya au marekani wapo wengi sana.
Pole sana
 
Kwanza unatakiwa ujiwehushe acha ustaarabu kabisaaa.

Nenda klabu za usiku piga pombe vuta sigara vaa nguo za maeneo hayo kama ni suruali toboa tundu kabisa kwenye usawa.
 
Back
Top Bottom