Xiaomi Mi Box, naweza kuunganisha na app kwa smart card ya king'amuzi cha jirani?

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
999
668
Msaada nimeanza kutumia haka kabox dizain kama nimekielewa Ila Sasa naomba msaada kwenye hili
1: Je naweza kuangalia epl kwa kuunganisha app ya DStv na satellite receiver smart card ya jirani?
2: Je ni the same pia kwa Azam TV?

Nimetokea kukipenda haka kadude ingawa Bando ni Siri yangu!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
View attachment 1935173
 
image-2021-09-12-22:25:41-804.jpg

Mimi natumia huyu mnyama ni
 
Kama ina android tv jaribu kuingia playstore download app husika.

Dstv now pia inakubali kwenye browser incase njia ya app imeshindikana.

Pia jirani anayo tayari user na pass ama hata kujisajili dstv now bado?
Nitaongea nae kama kama akikubali tusaidiane kulipa kifurushi!
Yaan Toka nimeonja maisha ya streaming ya kujichagulia muvi ya kuangalia nimejishisi tofauti!
Azam nahisi watanipoteza mwezi huu ni WA mwisho kulipa kifurushi Cha juu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Ntaongea nae kama kama akikubali tusaidiane kulipa kifurushi!
Yaan Toka nimeonja maisha ya streaming ya kujichagulia muvi ya kuangalia nimejishisi tofauti!
Azam nahisi watanipoteza mwezi huu ni WA mwisho kulipa kifurushi Cha juu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Hata hao azam wana Azam max gongea kwa mtu pia, watu kibao wana receiver wala hawajui hio app ni nini.
 
Hata hao azam wana Azam max gongea kwa mtu pia, watu kibao wana receiver wala hawajui hio app ni nini,
Hivi quality ya channel kama ni HD ukifanya hivyo kwenye tv utapata pia HD hiyohiyo?..mfano ukitumia Dstv app au Azam max.
 
Hivi quality ya channel kama ni HD ukifanya hivyo kwenye tv utapata pia HD hiyohiyo?..mfano ukitumia Dstv app au Azam max.
Utapata ila tu mpaka mhusika awe anastream kwa HD pia. Tv inaweza ikawa ya HD then mtu anastream kwa quality ndogo zaidi.

Dstv wao wanakupa option kama youtube, ukitaka HD, SD, 360p etc unachagua tu mwenyewe.
 
Back
Top Bottom