mtoto1980 JF-Expert Member Jul 28, 2015 534 517 Apr 4, 2018 #101 atlas copco said: MOTO ndio kifaa gan kwenye gari? Click to expand... VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasa
atlas copco said: MOTO ndio kifaa gan kwenye gari? Click to expand... VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasa
atlas copco JF-Expert Member Jun 15, 2015 8,297 9,391 Apr 4, 2018 #102 mtoto1980 said: Yeah akili ni moto na clutch tu kubalance ukifaulu hapo kazi kwisha. Click to expand... Tatizo lenu mnakaririshwa sana "eti ukijua kubalance clutch na moto umemaliza kazi"
mtoto1980 said: Yeah akili ni moto na clutch tu kubalance ukifaulu hapo kazi kwisha. Click to expand... Tatizo lenu mnakaririshwa sana "eti ukijua kubalance clutch na moto umemaliza kazi"
atlas copco JF-Expert Member Jun 15, 2015 8,297 9,391 Apr 4, 2018 #103 mtoto1980 said: VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasa Click to expand... Sio VETA unamquote mtu ambae ni taaluma yake kuanzia matengenezo ya hio gari hadi kuendesha,ukisikia jua kali ni sisi hatuongelei theory hapa
mtoto1980 said: VET....utawajuwa tu wanapenda kutaja Spears balaaa.Accerelator naona umefurahi sasa Click to expand... Sio VETA unamquote mtu ambae ni taaluma yake kuanzia matengenezo ya hio gari hadi kuendesha,ukisikia jua kali ni sisi hatuongelei theory hapa
Prince Nadheem JF-Expert Member Feb 25, 2012 1,253 1,028 Apr 4, 2018 #104 Saa Mbovu Master said: hakuna kitu kigumu kama ukiamua kujifunza na kuamua kuweka juhudi kuelewa... Click to expand... Kweli tupu
Saa Mbovu Master said: hakuna kitu kigumu kama ukiamua kujifunza na kuamua kuweka juhudi kuelewa... Click to expand... Kweli tupu
Mlolongo JF-Expert Member Jul 4, 2019 3,274 5,896 Sep 10, 2020 #105 Leo asubuhi nimemparamia mama muuza maandazi pale Mwananyamala, wote tukafa. Nilikua naendesha Crown Athlete
Leo asubuhi nimemparamia mama muuza maandazi pale Mwananyamala, wote tukafa. Nilikua naendesha Crown Athlete