Msaada jinsi ya kulocate place kwenye google map

Msaada jinsi ya kulocate place kwenye google map

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,289
Wakuu naombeni msaada!

natumia firefox 31 na kila nikijaribu kulocate a place kwenye google map siioni ile marker ya kulocate nimeitafuta sana ila siioni na sijaelewa kwa nini siioni!

kila kitu nafanya very ok nasign in kwenye google account vizuri kabisa but marker siioni!

naombeni msaada wenu maana kuna website natengeneza na lazima hiyo sehemu niilocate kenye googlemap then pia ionekane kwenye website!
 
kabla huya update inakudai uweke pasworrd je hizo password unazipata wapi??
 
Back
Top Bottom