JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO ILIYOKO KWENYE WEBSITE

JINSI YA KUDOWNLOAD VIDEO ILIYOKO KWENYE WEBSITE

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Habarini

Naombeni Msaada Wa Namna Ya kudownload video iliyo kwenye website,Sioni namna ya kucopy URL wala Namna Ya Kudownload! Nimejaribu Ku screen Record kwa Kutumia Iphone Lakini Haitoi sauti.... Nimeitafuta Youtube hiyo video lakini haipo

Natumia Chrome/Mozilla Msaada wa Namna Ya Kudownload hii video kwenye website kuna Video nyingi ila nataka hii moja tuuu

https://www.healthcare.siemens.com...nologies-innovations/fast-integrated-workflow
 

Attachments

  • IMG_4294.JPG
    IMG_4294.JPG
    150.1 KB · Views: 74
Tumia idm au snaptube kweny adroid

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Ndio

Sent from my SM-G920P using Tapatalk

Nimejaribu imenigomea File lake halifunguki! Lina .htm kama Unaweza Nisaidia Kudownload hiyo video ya pili nitashukuru sanaa maana inahitajika sana
 
Back
Top Bottom