Msaada.... Jinsi ya kujiunga google wallet

Msaada.... Jinsi ya kujiunga google wallet

felijose

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
201
Reaction score
59
Naomba kama kuna mtu anayejua jinsi ya kulink google wallet na benki za Tanzania . Maana najaribu kutumia VISA ya CRDB ila inakataa kujoin....
 
umesharegister card yako iwe inatumika internet? hio ndo step muhimu ya kwanza maana by default kadi hazitumiki online mpaka uzifungue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom