Msaada jinsi ya kujiondoa facebook | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada jinsi ya kujiondoa facebook

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by diet, Oct 12, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. d

  diet Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  jamani nimekuwa mwanachama wa facebook km miezi minanae sasa ila nataka kujiondoka kabisa pia niondoe picha zote yaani nisiwe na account humo..... nifanyeje???????????????????:spy::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  hili swala tumesha liongelea humu ndani mara 2, hebu jaribu kupitia threads nyingine utaona.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Hairuhusiwi kuondoka. Umeshachoka kuuza sura?
   
 4. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  ndugu unajua kazi za search bar kweli?
   
 5. M

  My Mud Senior Member

  #5
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  najaribu kuandika maelezo ya jins ya kujitoa fb coz me nimewai kujitoa but cm yangu haina uwezo wa kupaki maelezo mng.sorry lkn natafuta altve ya kuku help wakat huo 2nasubir wajuz wngne
   
 6. leloch

  leloch Senior Member

  #6
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  watu wengine mkitukanwa mna mind, sa unajkuta mjuaji af kumbe sifur kwan ukrudia kumwambia kunashda gan, had umwambie atafte?? Je unajua thread ngap zmesha post wa!! Ckunyngne kama hujui unaachatu co lazma kupost mana hakuna tuzo......
   
 7. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  mbona unajibu kama hu2mii akili kijana, kuna umuhimu gani wa Button ya Kusearch? Kauliza kaambiwa kiustaarabu kua mada ishajadiliwa aitafute kwa maelezo zaidi na naamini ni NingaR huyu ndo alieleta link na maelezo ya kujitoa sasa unataka kutukana ya nini? "Ficha ujinga wako".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,763
  Likes Received: 8,037
  Trophy Points: 280
  Wewe **** sikiliza, hakuna shida kama huyo NungaR angempatia hiyo link badala ya kumzodoa. Kama mnayo si mtoe tu shida nini kujishaua kama watoto wa kike wanaobalehe?
   
 9. Mwana Mtoka Pabaya

  Mwana Mtoka Pabaya JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 11,763
  Likes Received: 8,037
  Trophy Points: 280
  BAR zote kazi yake ni kuuza pombe, enhe niambie inahusiana nini na swali alilouliza diet?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Naskia harufu ya ban humu. By the way diet, anza kwa kudelete picha kwanza, zote kabisa. Then mengine kidogo kidogo, tena kwa kubadili info zako.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Kumbe siku hizi watoto wa kike wanabalehe? basi ndiyo maendeleo yenyewe hayo..
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Oct 12, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Ama kweli kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake, yaani hapa imeonekana Bar tu lakini neno la kwanza halikuonekana! Ahmada wewe..
   
 13. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #13
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  kijana kuwa mstaarabu unapo andika kitu, unajua kua hapa tunajaza saver ya JF?? pia kuna seach box ndio kazi yake hiyo, nimemwambia kua kuna thread humu inayo ongelea suala hili, ilikua nikitendo cha kusearch tu sio mpaka utoe maneno ya kuudhi namma hii.
   
 14. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #14
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  nime cheka sana leo
   
 15. leloch

  leloch Senior Member

  #15
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwel ukwel unauma.. unajua hujielew mkuu.. Kwan ye hajui kuna bar ya kusearch had akaulza?? we ultaka asearch in assumption without to knw the actual title of tht thrd.. Usiish kwa assumption kuwa unachojua ww kla mtu anajua b a modern man coz vdole havlngan... SAMAHAAAANI LAKINI...
   
 16. leloch

  leloch Senior Member

  #16
  Oct 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  we ndo huna akl kwa kujua kla klcho kweny maj n samak.. Kama n yy mbona hakumpa hyo lnk amrahcshie, w ultaka aotee o!!?? b CREATIVE ucrpoke..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #17
  Oct 12, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mkuu isiwe tabu na malumbano humu ndani.
   
 18. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #18
  Oct 12, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ukitaka kujiondoa Facebook unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye settings utaona kuna sehemu ya 'Deactivate'ukishaclick hiyo basi utakuwa umejiondoa. Na unaweza kurudi yaani 'uka activate account yako'.
   
 19. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #19
  Oct 12, 2012
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,453
  Likes Received: 7,219
  Trophy Points: 280
  nenda kwenye general setting,then click security,then deactivate
   
 20. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #20
  Oct 12, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Watumie maombi marafiki zako wote WAKUBLOCK kama umeshndwa. kaz itakuwa imeisha
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...