Msaada jinsi ya kujiondoa facebook

Status
Not open for further replies.
Ngoja nisearch hizo link ili na mimi nijiondoe maana inajaza sana my inbox
 
Kwa kifupi huwezi kufuta account ya facebook. Ila ukitaka uipotezee kirahisi na usiingie tena wala mtu asikupate sio u-deactivate account tu. Njia nzuri ni hii:
  • Rename user account, weka jina lingine ambalo halina uhusiano na wewe. (Tena wala lisifanane na jina la mtu unayemjua, weka hata neno ajabu lisiloeleweka, ila lisiwe reefu saana.
  • Futa picha zooote ulizoweka na alburms zote.
  • Kwenye infos futa kila kitu mf dini, shule, interests, e.t.c
  • Then badili password. Weka neno ambalo itakuwa rahisi kulisahau.
  • Then kabla hujasahau hiyo password mpya nenda ka-deactivate account kwenye settings.


Mimi kwa njia hii niliifuta account yangu na mpaka leo siikumbuki wala sikumbuki password na jina lake. Nilikuwa kila nikifuta nashikwa na tamaa ya kuactivate, baada ya kufanya hayo, nimeisahau na wala siikumbuki tena.

Pia usisahau kuondoa Email yao kwenye account yako ya facebook kabla huja-deactivate.
 
diet fuata link hii https://ssl.facebook.com/help/contact.php?show_form=delete_account&b=1wengine mliochangia, sijapenda kitendo chenu cha kuanza kupeana maneno yasiyo ya kujenga, kama huwezi kutoa msaada bora ukae kimya, siku si nyingi ntaanza kuwachukulia hatua za kuwarekebisha maana uhuru unavuka mipaka, jukwaa hili la kulumbana hovyohovyo, narudia tena kama huna cha kuandika tazama na uende zako.... (msije kunilaumu nshawapa taarifa)
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom