Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
Nina mdogo wangu wa kike ambaye anasoma shule ya sekondari Thaqaafa Mwanza, kwa muda mrefu kila akirudi likizo ananiambia jinsi majini yanavyowakamata wasichana katika shule hiyo hasa wa kiislamu nikawa nachukulia poa kwa vile yeye ni mkristo nikajua hayatamsumbua.
Cha kutisha wamefunga shule juzi, na ameniambia sasa hivi ni kama yameamia kwa wakristo,marafiki zake wawili tayari yamewakamata.
Kuna vyoo viwili kwenye bweni la wasichana ukiingia huko unadondoka na wazee ndio wanakuwa tayari wamekutembelea.
Mbaya zaidi shule hiyo hairuhusu ibada kwa wanafunzi wakristo hivyo wamekuwa kama wakiwa mwenzao hakidondoka hakuna msaada,
Waislamu wakidondoka wanapelekwa msikitini then yanatulia.
Baada ya kuniambia nimeogopa sana kwa sababu nyumbani tuliwahi kuwa na mdada wa kazi mwenye majini kwa kweli hayo madude yanatesa, tulimpeleka kanisani wakawa wanamwombea lakini akifika nyumbani yanarudi mpaka ikabidi tumrudishe kwao.
Hapo shuleni wameshafanya usajili wa mitihani ya form six, hivyo naona lazima atamalizia hapo tuu.
Naomba msaada jinsi ya kuzuia haya majini yasimpate mtu ili nione kama anaweza kumalizia hii miezi nane salama.
NAWASILISHA.