Msaada: Jinsi ya kuishi na mwanamke mwenye story Mob

mkuu huenda wakati mwingine ukakereka ila ni vyema kuwa na mwanamke wa aina hii..wakati mwingi ni mchangamfu na akiwa na tatizo ni rahisi kugundua..
 
wanasema use as means to shut her/him up. akianza kuongea tu tumia any romantic way ujifanye kama unamseduce uku unamwambia baby punguza kuongea kidogo umnunulie na publish
ha haaha ukinibusu naanza ya kubusuana ha hahaha,,.. umenikumbusha mbali ha hahaha maisha ni raha sana
 
Back
Top Bottom