Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,996
Habari Wapendwa
Wife sio mtu wa stori nyingi sana akiwa mbele za watu..Ila tukiwa wawili huwa naipata fresh..Yani ni mwendo wa stori Bampa to Bampa..
Mfano Mkiwa mnaangalia Tv,filamu au movies pamoja basi baadhi ya matukio ya kile mnachokiangalia lazima ayahusishe na stori flani then anaanza kukusimulia...Unakuta inabidi uache kukonsetreti na kinachoendelea na kumuazima masikio yeye...
Ukimpigia Stori flani basi mwisho wa stori yako ndo mwanzo wa stori yake..Lazima na yeye ailete ya kwake inayofanana na kile ulichomsimulia...
Halafu sio mwepesi wa kusoma mood ya mtu..Sometimes akianza stori uwa naitikia tu bila kuwa makini na anachoongea nikiamini mwenzangu ataelewa kuwa siko interested na stori hiyo kwa wakati huo lakini wapi..Mwenzangu anatiririka tu..
Uzuri ni kuwa anajua kusimulia..Stori zake nyingi zinavutia kusikiliza..Tatizo ni kuwa mara nyingi stori zake anazileta muda sio muafaka..
(Ikumbukwe hata fuko la hela linaweza kuwa uchafu likiweka sehemu isiyostahili)
Mtu wa hivi unadili naye vipi??
Nahisi nikimwambia ana stori nyingi apunguze anaweza kujisikia vibaya Au ndo nikakaribisha ukimya wa Hali ya Juu ndani ya nyumba..
Njia ipi ni nzuri ya kufikisha Ujumbe??