Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 329
- 1,059
Habari.
Wakuu mke wangu amekuwa na rough budget yaani ana matumizi mabaya ya fedha.
Mwanzo nilikuwa ninamuachia kila siku kiasi kadhaa.
Baadae nikaamua niwe namwachia hela ya mwezi mzima ambapo hapo nimejumuisha hela ya meza kila siku ,dharura na budget yake kidogo.
Changamoto ni moja ni Mtu anayeoenda kununua kitu chochote kile anachojisikia kwenye hela ya matumizi.
Ana roho ya huruma mtu akimuomba hela tu tayari kagawa.
Changamoto kwangu ni moja najikuta siendi na budget ya mshahara na kimekuwa mtu wa kulimbikiza madeni kila kukicha.