Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,381
Hiyo ni NOKIA. Je ya blackbery, au zingine?
hiyo ni nokia
Hiyo ni NOKIA. Je ya blackbery, au zingine?
huhtaji kubonyeza ok kwa nokia original, yaani kitendo cha kuungiza hzo namba bila kukusea unapobonyeza # inaleta automatic taarifa za simu yako.
Ni rahisi sana kugundua, we iweke tu kwenye kidumu cha maji kama nusu saa hivi, kisha ukiitoa na ikaendelea kufanya kazi kama kawaida, hiyo ni Origino,isipofanya,huyo ni chinese.
Je galax
Simu fake inatambulika kwanza kwa bei yake ikiwa utanunua hapa Bongo kama vile maeneo ya Kariakoo nk. Pili utagundua kuwa ni fake kwa ku dail *#06# kisha hesabia zile tarakimu. Tarakimu ya Saba na Nane ikiwa ni tarakimu 00 basi hiyo ni ORIGINAL.
Mfano 253978008745678 Kama utapata tarakimu hii basi hiyo ni ORIGINAL.
How about Bbm