Msaada jinsi ya kuhost website yenye database please

mzambia

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Messages
885
Points
195

mzambia

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2010
885 195
Jamani wana jf naomba msaada nimehost website yangu zile static pages nimeweka ila shida imekuja kwenye kuitupa database hapo nimeshindwa naombeni msaada please mwenye kujua hilo
 

Forum statistics

Threads 1,392,960
Members 528,739
Posts 34,123,496
Top