Msaada jinsi ya kuhamishia movie kwenye DVD

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,271
1,250
Wakuu heshima kwenu,nina movie zangu nimezi download lakini nimeshindwa kuziweka kwenye DVD ili niangalie kwenye TV yangu,Naombeni msaada wakuu,nimejaribu kutumia Real player imekataa,VLC sijafanikiwa.
Natanguliza shukrani zangu.
 
networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
571
250
kama deki yaki ina burn na ina support dvd (kwenye mlango utaona ime andikwa dvd RW) fanya hivi weka cd yako ndani ya deki ifungue hiyo empty cd/dvd ifanya iwe kwenye kiji page kidogo afu fungua na mahali movie yako ipo Drag hiyo movie kwenye kidirisha cha cd/dvd ulio funguwa mwanzoni subbiri ihame ikisha maliza bila ku highlight bonyeza right click utaona neon burn ibonyeze afu kuna kiwinindo kita tokea bonyeza ok au next hadi mwisho ita burn iki maliza mlango wa deki yako itafunguka au itakuambia done. toa cd/dvd yako weka kwenye deki yako angalia .kumbuka dvd ina ukubwa wa 4.7 gb cd ina mb 700 so unatakiwa ungalie na ukubwa wa movie yako ulinganishe na ukubwa wa cd utakayo tumia kuburn lasivyo ita goma
 
Sting007

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
274
225
Unaweza kutumia Total Video Converter, kwanza convert movie yako uliyo download kwa kuangalia format yake kama ni avi, mkv, mp4 au format yoyote ikisha maliza, total video converter automatically itafugua Burner na pia itakuletea option ya kuchagua movie yako unataka uiweke kwenye format gani, chagua DVD, hakikisha umeweka DVD cd empty kwenye CD rom ya computer yako, then click next. Zingatia ukubwa wa movie kulingana na DVD cd utakayotumia.
 
Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,271
1,250
Nashukruni wakuu kwa majibu yenu mazuri,hatimaye nimefanikiwa,kila la heri katika ujenzi wa Taifa
 
Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,271
1,250
kama deki yaki ina burn na ina support dvd (kwenye mlango utaona ime andikwa dvd RW) fanya hivi weka cd yako ndani ya deki ifungue hiyo empty cd/dvd ifanya iwe kwenye kiji page kidogo afu fungua na mahali movie yako ipo Drag hiyo movie kwenye kidirisha cha cd/dvd ulio funguwa mwanzoni subbiri ihame ikisha maliza bila ku highlight bonyeza right click utaona neon burn ibonyeze afu kuna kiwinindo kita tokea bonyeza ok au next hadi mwisho ita burn iki maliza mlango wa deki yako itafunguka au itakuambia done. toa cd/dvd yako weka kwenye deki yako angalia .kumbuka dvd ina ukubwa wa 4.7 gb cd ina mb 700 so unatakiwa ungalie na ukubwa wa movie yako ulinganishe na ukubwa wa cd utakayo tumia kuburn lasivyo ita goma

Unaweza kutumia Total Video Converter, kwanza convert movie yako uliyo download kwa kuangalia format yake kama ni avi, mkv, mp4 au format yoyote ikisha maliza, total video converter automatically itafugua Burner na pia itakuletea option ya kuchagua movie yako unataka uiweke kwenye format gani, chagua DVD, hakikisha umeweka DVD cd empty kwenye CD rom ya computer yako, then click next. Zingatia ukubwa wa movie kulingana na DVD cd utakayotumia.
Jf ni kiboko,kuna watu wanakila aina ya utaalamu nashukuruni sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom