Msaada: Jinsi ya kuhamisha pesa direct kutoka visa card kwenda visa card nyingine bila mizunguko

TPKitula

Senior Member
Nov 9, 2022
125
80
HABARI zenu wadau wa JF.

Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi.

Kwa mtaalamu yeyote wa JF anaejua jinsi ya kuhamisha pesa direct kutoka visa card kwenda visa card nyingine bila mizunguko mingi anisaidie tafadhali. maana kuna wadau wangu wanaihitaji sana hiyo huduma ila nimetafuta app ya kuwezesha hilo sijafanikiwa kupata.

Pia kama kuna mtaalamu anayejua kampuni ya kubet ambayo nitaweza kuweka pesa direct kutokea kwenye visa card yangu.

Asanteni
 
Rudisha kadi ya watu, acha wizi
JamiiForums-566743038.jpg
 
HABARI zenu wadau wa JF.

Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi.

Kwa mtaalamu yeyote wa JF anaejua jinsi ya kuhamisha pesa direct kutoka visa card kwenda visa card nyingine bila mizunguko mingi anisaidie tafadhali. maana kuna wadau wangu wanaihitaji sana hiyo huduma ila nimetafuta app ya kuwezesha hilo sijafanikiwa kupata.

Pia kama kuna mtaalamu anayejua kampuni ya kubet ambayo nitaweza kuweka pesa direct kutokea kwenye visa card yangu.

Asanteni
Ni credit card au debit card? Zimekuwa issued na benki/instutition gani?
 
Ni lazima hizo kadi mbili ziwe zimeishawekewa utaratibu wa kusomana kwanza ili kuwe na uhamishaji wa moja kwa moja, hili linafanywa na benki zenyewe na mitandao ya mawasiliano.

Vinginevyo, unatakiwa uitowe pesa kwenye Visa card moja uziweke kwenye akaunti yako ya benki kisha uziweke kwenye Visa card ya pili ndipo ufanye malipo.....Kila lakheri!.
 
sawa nashukuru sana mkuu kwa kunipa mwanga
 
Back
Top Bottom