Msaada - jinsi ya kufuta app ktk ipad

Msaada - jinsi ya kufuta app ktk ipad

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
1,303
Reaction score
281
Unafutaje app uliyoinstal mwenyewe katika ipad kutoka ktk app store?
 
Labda nimeweka app ya BBC news na sasa nataka kuitoa nafanyaje?
 
i tap na ku hold kisha utaona aidha inakuletea option ya ku delete au uninstall..
 
Unafutaje app uliyoinstal mwenyewe katika ipad kutoka ktk app store?
ok Soki hilo sio tatizo, sipo na iPad hapa nipo na iPhone though process ni hiyo hiyo kwenye iPad na iPhone. fanya hivi,, gusa na kushikilia App unayotaka kuiDelete mpaka hizo icons zitakapoanza ku'Shake', itatokea alama ya X upande wa juu kushoto katika kila App yako, gusa hiyo X then itakuPrompt kuDelete then delete it!! simple....

7oq.png
8lbb.png
 
Mkuu hiyo si ni ios 4.1.2 bado inapiga mzigo tu?
 
hiyo siyo 4.1.2, hatahivyo hiyo os bado inafanya kazi vizuri tu kwenye simu zinazoitumia..
Anhaa mim ilinisumbuaga hasa kwenye kudownload app nikafikiri ndo unayoitumia baada ya kuona hizo shots ulizoweka..no worriz then
 
Iliposumbua ulifanyaje kusolve hiyo problem?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom