pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,539
- 4,946
Nimenunua dish na dekoda ya zuku mpya sh.65000.niko kijijini sana hakuna fundi.mwenye ujuzi jinsi ya kufunga anielekeze.nawasilisha
upo wap mkuu
Mibikimitalipandagichiza, uko pawaga, izazi au tungamalenga?
You are not serious na ndo naisikia mibikimitali...
Angalia usawa jua linapozamia yaani magharibi ila liweke likiwa kama limesimama wima hivi chezesha ukiwa unaangalia kupanda na kushuka kwa freq utapata
nimekukubari upo kimbiji lakini unatumia jf umetoka polini umekuja balabalani