Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 646
- 945
Wataalam wa mapishi naomba mnielekeze mbona nikila sehem za watu vyakula vyao vinanukia na vina ladha safi,,au unakuta unapita sehemu unasikia mtu anaunga mboga inanukia balaa mpaka hamu ya kula inakushika,,je huwa wanatumia viungo gan kwenye mapishi yao,,maana kila nikijitahidi kuungurumisha geto naishia kuunguza vitunguu,.je ni viungo gani muhimu vya kunukiza mapishi