Msaada - jinsi ya kucopy information kutoka Google Books

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,661
Wataalam, naomba msaada wa namna ya kucopy certain sections kutoka Google Books. Kuna materials nahitaji kucopy/kuprint, na hii kitu nimeiona Google Books tu.
 
Wataalam, naomba msaada wa namna ya kucopy certain sections kutoka Google Books. Kuna materials nahitaji kucopy/kuprint, na hii kitu nimeiona Google Books tu.

Kuna software inaitwa google books downlodaer una paste url link ya hicho kitabu then ita downlod, ila kitabu hakitakuwa na pages zote vingi vinauzwa kwa hyo wana preview baadhi ya chapters & pages.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom