Settings >picture >energy saving >offHivyo ndivyo TV yangu LG LED TV Ina display mara baada ya kuiwasha.Naombeni msaada went maujanja na hii situation,nina solve vipi?
Ebu nenda hadi kwenye hizo options za power saving mode halafu piga picha tuone zimekaajeNimefanya hivyo mkuu,but still hilo tatizo linaendelea tu.Nikiwasha tv,haichukui hata dakika 1,Ina display,"entering power saving mode shortly,kisha inazima display!
Duhh basi hapo labda waje wengine mkuu. Sijui zaidi ya hapoScreenshot hizi hapa!View attachment 1101048View attachment 1101049
Kuna option fulani ila nimesahau na niko mbali na tv. Inahusiana na mambo ya alarm, automatic power on/off kwa muda fulani. Nahisi ni hapo ukapafanyie marekebisho.Hivyo ndivyo TV yangu LG LED TV Ina display mara baada ya kuiwasha.Naombeni msaada went maujanja na hii situation,nina solve vipi?
Nitajaribu kucheki,so far nimejaribu ku search Google na YouTube kwa solution but nimechemka.Kuna option fulani ila nimesahau na niko mbali na tv. Inahusiana na mambo ya alarm, automatic power on/off kwa muda fulani. Nahisi ni hapo ukapafanyie marekebisho.
Sina hakika lakini!