Msaada.jinsi ya kucheki local channels kwa smartphone

Msaada.jinsi ya kucheki local channels kwa smartphone

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Habari wakuu! Naomba kujua namna ya kuangalia local channels kwa smartphone
 
Unatumia simu gani?
Kama ni android download za bure hizi
-azam tv
-itv
-Afro box

Ya kulipia ipo ya TTCL kama unataka TBc na star tv ambazo hazipatikani kwenye apps za juu.

Zote utazipata playstore
 
Unatumia simu gani?
Kama ni android download za bure hizi
-azam tv
-itv
-Afro box

Ya kulipia ipo ya TTCL kama unataka TBc na star tv ambazo hazipatikani kwenye apps za juu.

Zote utazipata playstore
Ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom