Msaada: Jinsi ya kublock no ya simu

rweyy

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
229
146
WanaJF naombeni mnisaidie jinsi ya kublock no ya simu kama sitaki anipate hewani angali no zingine zinanipata
 
Simu yako ni java nokia s40 mafile yake hayasupport kublock calls, labda kukusaidia unaweza tengeneza group then uka assign tone kwenye hilo group

Katika hilo group watu wote wasumbufu usopenda call zao waeke humo halafu tone eka off vibration off, hutapata usumbufu

Je mimi mwenye nokia 3120classic ntaweza
 
Mimi nainjoy na mchna wangu, kuna blacklist and u can add up to 20 numbers....inabadilisha sauti pia...nshamkomesha mdada mmoja, nilimwekea sauti ya kike...hajanitafuta tena.
 
Divert namba yako kwenye namba hiyohiyo yako-eg no yako ni 0713100100, njoo kwenye divert calls then uidivert kwenye namba hiyohiyo-watu wote wakikupigia itabidi warudie hata mara 5 au na zaidi ndo wakupate-maana wataambiwa namba unayopiga haipo-ichunguze tena-japokuwa inaweza kuita kwake mara moja tu then akaambiwa hayo maneno-kwako wewe utaona kama amekubip-

Mimi nishaitumia hiyo njia-inapunguza usumbufu-maana mtu akibipu ujue kwake kapiga na kaambiwa hiyo namba haipo.

Tatizo la hii njia ni kwamba inabidi wale watu muhimu ukiona wanakupigia then inaingia as missed call-wewe ndo unatakiwa uwapigie-then utasingiuzia mtandao.

SMS zinakuwa zinafika pasipo tatizo
 
divert namba yako kwenye namba hiyohiyo yako-eg no yako ni 0713100100,njo kwenye divert calls then uidivert kwenye namba hiyohiyo-watu wote wakikupigia itabidi warudie hata mara 5 au na zaid ndo wakupate-maana wataambiwa namba unayopiga haipo-ichunguze tena-japokuwa inaweza kuita kwake mara moja tu then akaambiwa hayo maneno-kwako wewe utaona kama amekubip-
mi nishaitumia hiyo njia-inapunguza usumbufu-maana mtu akibipu ujue kwake kapiga na kaambiwa hio namba haipo.
tatizo la hii njia ni kwamba inabid wale watu muhimu ukiona wanakupigia then inaingia as missed call-wewe ndo unatakiwa uwapigie-then utasingiuzia mtandao.
SMS zinakuwa zinafika pasipo tatizo

Asante nijaribu hiyo njia
 
Wewe mwenye n72 download netqin mobile guard itakuxaidia kublock namb za wa2
 
Jamani mi natumia bb 9700, pls msaada jinsi ya kublock namba
 
Back
Top Bottom