Yaaani mfano itoke android iende Ios, windows, or Symbian ?
Hichi kitu hakipo sana sana huwa tunafanya updates ya OS tu ya simu kama inakubali kupokea ila kama haikubali itakushangaza baada ya kuilazimisha maana feature zinaweza zikagoma kufanya kazi zingine.