Wakuu kwema, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili au kuweka option ya kuplay video hapa JamiiForums anisaidie. Mimi nikifungua inafungua kwa kutumia JF tu. Nataka niwe nafungulia browser nyingine tofauti na Jamiiforums.
Asanteni.
Sent using
Jamii Forums mobile app