DAN LOKOMOTIVE
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,536
- 1,997
wachache sana ndugu wewe nenda kajaribu uone subiri wafungue uende kwenye faculty yako kwa dean of student umuembie aanze kukupa process zakeIla wanaofanikiwa kuhama in wengi au no idadi ndogo sana
Unaijua BVM? au unataka nini huko?Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?
Na kama na weza njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sanaa
Asante nduguuUnaijua BVM? au unataka nini huko?
Wakati naingia BVM 2009 kilichokuwa kinazingatiwa ni ufaulu, lakini pia idadi ya wanafunzi wa BVM iko limited.
Kwa hiyo kama uliichagua lakini hujapelekwa huko utakuwa umeelewa. Uko na point 11 za PCB, kuna wenzako wanaingia huko vet wakiwa na 5,6,7 & 9.
Anyways, kama muda wa kubadili bado upo, andika tu barua peleka ofisi za admissions hapo main campus, au nenda kwanza uwaone wakwambie cha kufanya.
NB; Hiyo education ni rahisi kujiajiri kuliko BVM. kila la heri
~Jodeo~
ASANTE TATIZO CYO KUJISOMESHA YAANI NINGEKUWA NA UWAKIKA TU NINGE ENDA MMIts possible mm mwenyewe nilikua nataka kuhama course ya BVM kwenda BLS but kinachosumbua ni kua kuhamisha loarn kwenda course nyingine ndio shughuli but kama utaweza kujisomesha its possible
aea ndo kozi gani mkuu..?
Ina wezekana nenda chuoni FASTER jaza fomu ya kubadili course.Nimechaguliwa BCS of education SUA nina two ya 11 nimesoma PCB yaani nimepata Chem C Bios C na Phy E nilikuwa nauliza je na weza badilisha course na niende BVM?
Na kama na weza njia zipi nizifanye za haraka kwa muda huu maana nimechaguliwa pia Diploma ya Clinical Medicine asante sanaa
Kumbe kuhama campus n noma me nataka niamie general.Mnapoteza mda na nguvu kudiscuss ukweli ni huu
Huwez kwenda bvm kwa hzo point zako badili nyengine kama fst, hnu, age,agm,wlm nakadhalika
Ni ngumu kubadili kozi kutoka mazimbu kwenda Main unaweza ukasoma
Environmental science
Agribusiness
Ndo nzur zpo mazimbu ni rahis kubadilisha hukohuko
Maneno yangu si sharia unaweza jaribu pengine waweza fanikisha
Agriculture generalKumbe kuhama campus n noma me nataka niamie general.
mkuu mbona tunasikia wengi tu wanahamiaga main camp hata kutoka vyuo vingine ugumu unaosema unatokea wapi Wakati ni chuo kimoja
Siku hz naskia wamelegeza kamba cha msingi uwe na marks nzurNi chuo kimoja sawa Ila tofaut yake Ni main cumpus na mazimbu cumpus..
Ni sawa na mtu aliechaguliwa duce harafu akataka kuhamia main cumpus (UDISM) huwa ni ngumu mno na nimeshuhudia changamoto zilizowapata wanafunzi waliokuwa na uhitaji huo wakiwemo rafik zangu.
Onother proof Kuna school mates wangu wawili walichaguliwa ualimu wa Geography na mathematics mazimbu cumpus wakataka kuhamia irrigation and water resources Engineering main cumpus but ikashindikana.. ko haya mambo mkuu ninavyoongea Nina uzoefu nayo huko nilishapita na Najua ninachokwambia.. Ni Bora kujipanga kwa kuja kutatua hizo changamoto kuliko kujiaminisha kuwa inawezekana kirahis then ukaja kufel
Mkuu Mimi Nina div 2 ya 10 cbgSiku hz naskia wamelegeza kamba cha msingi uwe na marks nzur
Mkuu Mimi Nina div 2 ya 10 cbg
Chem-C,geo-C,bio-D,Bam-s,g.s-E
For agriculture general nakidhi maana nimechaguliwa aea nahisi itanisumbua coz cna msingi mzuri wa uchumi na pure
Inawezekana
Halafu Nani kakwambia ukiwa na msingi mbaya wa hesabu huku unazingua?
Mfano mdogo nina muhun wangu
O-level basic mathematics F
A-level Bam F
Lakin mth za huku alikuwa akizitundua kwelikweli na si yeye peke yake
In short huku wote mnaanza upya masomo mengi hayahusiani na nyuma div 2 yako unaiacha getini
Note :mth 106, mth 102 mtazikuta huku kila kozi huyo ni core lazima usome
Mimi na pgm yangu pale agriculture engineering nilipata sup ya mth 106 pamoja utabe wangu wa hesabu
Hv vitu havina formula
Naiaibisha pgm wapi mkuu kuna kuteleza ndugu kama tcha wangu tu wa basic mathematics o level alishikwa mth 106 alikua akichukua education in geography and mathematics na tulikuwepo nae mazimbu tunasapua sembuse MimiMkuu mbona unaiabisha Ivo pgm aisee Yan umesoma pgm harufu unashindwa kufaul mth106 yenye topic mbili tu yani statistics na probability? Sema labda kama ulikuwa unashinda downtown club ndo maana ulifel lkn Kama ulikuwa serious huwez kufel mth106 Kama ulisoma pure mathematics.. Ila kwa Ambaye hajapitia hizo topics mbili inahitaji kutumia nguvu nyingi Sana ili kuifaulu hiyo course.. cjawahi kufel course yeyote ya MTH kwasabab ya msingi wa pure niliotoka nao advance...
Hao ni agriculture general wanaenda kuwa cheap labour huko Hakuna faida Kama unavyofikiriaMsisahau na AEA106 Inakula sana vichwa nayo mazimbu uko, ila we nenda AEA ukipiga fresh naskiaga wanapelekwa Israel japo sina uhakika sana
Duuh kumbe AEA hawamo!, ila hata kama cheap labor ila kibongo bongo ukishavuka maji kuna satisfaction flani utakua umeipataHao ni agriculture general wanaenda kuwa cheap labour huko Hakuna faida Kama unavyofikiria
Duuh kumbe AEA hawamo!, ila hata kama cheap labor ila kibongo bongo ukishavuka maji kuna satisfaction flani utakua umeipataHao ni agriculture general wanaenda kuwa cheap labour huko Hakuna faida Kama unavyofikiria