MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,125
Hyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
Clinical Medicine chuo cha serikali au binafsi..?Nimechaguliwa BCS. OF EDUCATION SUA NINA TWO YA 11 NIMESOMA PCB YAANI NIMEPATA CHEM C BIOS C NA PHY E NILIKUWA NAULIZA JE NA WEZA BADILISHA COURSE NA NIENDE BVM?? NA KAMA NA WEZA NJIA ZIPI NIZIFANYE ZA HARAKA KWA MUDA HUU MAANA NIMECHAGURIWA PIA DIPLOMA YA CLINICAL MEDICINE ASANTE SANAA
Mkuu, kozi za kilimo unasema utumbo...!!!Unampoteza mwenzio. Hizo kozi ulizomwandika akimaliza unakata akafanyaje! acha kumpotosha mwenzako. Hizo point zake zinatosha kabisa kwa BVM. Pia heri mara 100 akasoma BLS kuliko huo utumbo wa kilimo.
Nna mshikaji mwaka wa 3 yy na demu wake ni graduates wa SUA kilimo wapo kitaaHyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...
Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo
Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?
Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja
Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur
Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo
Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie
Watakupinga ila huu ndo ukwel mchunguHyo Bitechnology na laboratory science mnayomdanganya ndo amepotea kabisaaa...
Njoo na data kusapoti hio kozi yako acheni kumpoteza mtu
Dogo unaeomba ushauri Kama unasoma hapa hii sio ile lab ya afya ya binadamu in short sio kozi ya afya kama umejihaminisha hivyo
Yani mpaka sasa ujui hzo kozi mtu anasoma awe Nani?
Na cha kuongezea tu nikwamba hizo kozi zina soko la ajira na unaweza jiajiri most nlizozitaja
Na nikwambie tu ndio kilimo kinalipa wengi tulio graduate nao waliosoma hzo kozi
-maafisa kilimo
-afisa misitu
Wapo vzur
Halafu Nani kakwambia bvm wanachukua hzo point zake labda ulisoma bvm ya enzi hzo
Embu jaribu kuuliza wadogo zako au ndugu na jamaa uliowaacha hapo chuo point zake wakwambie
akasome kwa vision ya kujiajiri siyo kuajiriwa.Mkuu, kozi za kilimo unasema utumbo...!!!
"Innalilah wainnalilah rajiun"
kwa FST?BVM nikwambie ukwel utasumbuka kuandika barua utasubir majibu bure ila huwez kwenda na hzo point zako utajikuta umepoteza muda bure nenda kozi hizi
Bsc animal science
Bsc Agriculture general
Bsc Forestry
Bsc Horticulture
Au hyo education uliochaguliwa ipo campus ya mazimu SMC kuondoa gharama ya muda na usafir
Nenda
Bsc Environmental science
Ipo hapo mazimbu ambapo kozi yako ipo
Usiupuuze ushaur wa mlevi we ujiulizi kwa nini sijaitaja Laboratory bitechnology (BLS)
Na hizo walizokutajia tofaut na nilizotaja Mimi?
Nlikuwa hapo kitambo kidogo.. Naelewa
Tupo. Sema tukusaidie mkuuJaman wenjeji wa sua mpo humu naitaji ushauri kidogo!!
Fst na bls ipi nzur apoTupo. Sema tukusaidie mkuu
Zote ni nzuri mkuu, inategemea na na interests zako kuamua ipi kuwa nzuri zaidi. Kiujumla kozi nyingi za SUA ni best, pia kuna best instructors so wanaweza kukusaidia zaidi juu ya unachosoma hasa ukiwa chuo.Fst na bls ipi nzur apo
Pale mm food sasa sijaijua kiundani zaid naomba maelezo kidogoZote ni nzuri mkuu, inategemea na na interests zako kuamua ipi kuwa nzuri zaidi. Kiujumla kozi nyingi za SUA ni best, pia kuna best instructors so wanaweza kukusaidia zaidi juu ya unachosoma hasa ukiwa chuo.
Water bender kutoka wapi?Vp
kwa FST?
Pole Sana bro Ila BVM utasoma ondoa hofu kabisa unapointi nyingi Sana AMINI Mungu atakusaidia
BLS big nooo! Ya nini kuficha tunaongea ukwelFst na bls ipi nzur apo
We mtu mzito forester mwambie tu Hali halisi kuhusu hio kozi hao wanaopatikana college of biomedical science ajira bongo changamoto hata field zao halafu uwez jiajiri ukilinganisha na fstZote ni nzuri mkuu, inategemea na na interests zako kuamua ipi kuwa nzuri zaidi. Kiujumla kozi nyingi za SUA ni best, pia kuna best instructors so wanaweza kukusaidia zaidi juu ya unachosoma hasa ukiwa chuo.
Jaman wenjeji wa sua mpo humu naitaji ushauri kidogo!!
Ulichokisema mkuu kinaweza kuwa kweli. BLS washawahi kulalamika kuwa hawana Wizara maalum inayowaajiri hiyo ni changamoto Kubwa sana kwao.We mtu mzito forester mwambie tu Hali halisi kuhusu hio kozi hao wanaopatikana college of biomedical science ajira bongo changamoto hata field zao halafu uwez jiajiri ukilinganisha na fst
Bls ni nzur tena sanaa huko mambele sio nchini kwetu