MSAADA JINSI YA KUAPPLY SUA

MSAADA JINSI YA KUAPPLY SUA

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Jamani naomba msaada wa kuapply SUA nimesha jisajiri sasa wamenitumia password kila nikiingiza naambia hazifanani wakati wamenipa wenye au ninakosea wap????
 
hata mwenyewe nina hili tatizo wenye uelewa jamani muje mutusaidie
 
Ukilog in hayaji maelezo mekundu yana hizo vocha namba?
 
hapana inaniandikia tu invalid username or password wakati nimeziandika kwa usahihi kabisa kama walivonitumia kwenye sms
 
Pole bro, kwa SUA, ukishakamilisha malipo. Utatumiwa username yako ambayo hujumuisha no zako za form four pamoja na miaka uliyomaliza form four na form six na password ambayo huwa ni tarakimu sita via email uliyotumia ku-register, so angalia vizuri. Tatizo likiendelea Log out then Log in.
 
Issue ni ku-login utapataje jinsi ya kulipa bila kuingia kwenye system??
 
kweli kabisa tatizo langu mimi ni kwamba hata kwenye kufanya malipo sijafikiai kwa sababu username na password walizonipa haziniruhusu kulogin kwenye akaunti yangu
 
Same problem kwa watu wengi hi hivyo so tuombe mwenye direct contact za SUA aweze tu-serve hapa waweze fanya reset
 
kweli kabisa tatizo langu mimi ni kwamba hata kwenye kufanya malipo sijafikiai kwa sababu username na password walizonipa haziniruhusu kulogin kwenye akaunti yangu
Hapo nduguu tatzo tulipoteza reference namba hvyo hawez kulog in mpaka uzipate reference namba
 
ko mkuu hizo reference number tunazipataje maana mi sikumbuki kama walinitumia nilipokuwa nafanya registration
 
daaah hatimaye nimewapigia simu wamenisaidia kusolve hii issue
 
Jinsi ya kulipia msaada
Reference number tayar ninayo
Kwa mpesa
 
Back
Top Bottom