namba za tanzania zipo mfumo huu
+2557xxxxxxxx
+2556xxxxxxxx
vodacom
+25575xxxxxxx
+25576xxxxxxx
tigo
+25571xxxxxxx
+25565xxxxxxx
zantel
+25577xxxxxxx
airtel
+25578xxxxxxx
+25568xxxxxxx
bol/smart
+25579xxxxxxx
piga namba, ikiita jua ina exist, ikisema namabri unayopiga haipo juwa kuwa hai exist.Mtu anaweza input 0715 99999 au 0784 999999. Assume namba hizi bado hazijaingizwa sokoni ingawa zipo ktk format sahihi, Je una idea yeyote ya kuchek if number ina exist?
Mtu anaweza input 0715 99999 au 0784 999999. Assume namba hizi bado hazijaingizwa sokoni ingawa zipo ktk format sahihi, Je una idea yeyote ya kuchek if number ina exist?
namba za tanzania zipo mfumo huu
+2557xxxxxxxx
+2556xxxxxxxx
vodacom
+25575xxxxxxx
+25576xxxxxxx
tigo
+25571xxxxxxx
+25565xxxxxxx
zantel
+25577xxxxxxx
airtel
+25578xxxxxxx
+25568xxxxxxx
bol/smart
+25579xxxxxxx
Nawezaje kuzitambua namba za simu za Tanzania?
Pia Nawezaje kuzitofautisha ktk makundi e.g Tigo, Voda, Airtel.
Nina .Net application inayotumia number za simu, but lazima ziwe za Tanzania to.
Pamoja
unaweza ukaeka automatic message system, mtu akiingiza input ya namba basi automatic app inamtumia sms, then sms ikiwa delivered inamaana namba inaexist na sms ikiwa pending inamaana haipo hio namba.