Msaada: Jinsi ya ku-unstall eset on access scanner

Mringo

JF-Expert Member
Jun 23, 2010
320
100
Waungwana nataka ku-istall kaspersky 2011, ila nkwama pale inaponiambia niondoe eset on access scanner..niliwahi kutumia eset long time ago...Nimejaribu kusearch kila kona sioni traces za eset.

Tafadhali wajuzi nisaidieni
 
Jribu hhii: click start, run then typep regedit, ikifunguka registry editor click edit then find next (au press F3) itakuja sehemu ya ku saerch..weka neno esset then find halafu delete kila unachokipata kina neno la esset (note kama hamna acha) endelea hivyo kusearch netx mpaka ikwambie no match found...njia hii itatoa entry zote za esset kwnye registry ambayo ndo inazuia hiyo kspsky isiingie!
 
..............................
ubarikiwe mkuu
 
Back
Top Bottom