Msaada jinsi ya ku-uninstall application nokia c5-03

Shedafa

JF-Expert Member
May 21, 2008
802
173
Nina ki C5-03(nokia) kangu, ambacho nimekijaza application mpaka kiko full sasa nataka ku-unistall ambazo sizitumii ili niweze kufanya mambo mengine lakini sioni option hiyo. Yeyote mwenye kujua jinsi ya kufanya naomba anijuze, nashindwa kutuma maila na vitu vingine maana memory full. Msaada tafadhaliiiiiii!
 
Embu ukiwa kwa Menu, highlight hiyo App(usiifungue) alafu enda Options utaona remove.
 
Ngoja nijaribu, nitakupa taarifa mkuu. Asante kwa kujali.
 
Haiwezekani kui-highlight bila kufungua. Hii ni touch screen, hivyo ukihighlight ndio umefungua na ukifungua hupati option ya ku-remove.
 
labda nakosa neno sahihi kaka. Before kuvungua kitu chochote kwa simu lazima kwanza juu ya icon ya hiyo App kuwe na ka mwanga tofauti kuonesha kuwa ndio umechagua hiyo kitu. Now ikifikia hapo nenda kwa menu au options utaona remove.

Nakosa tu the right words lakini ukiweza hivyo lazima itatoka
 
we nenda aplication manager then utakuta list ya application zote. Kama huion click help isearch
 
Back
Top Bottom