Salaam wana JF
Naomba msaada wa kujua nini vinahitajika kurudisha/kurenew kitambulisho cha taifa
Mimi ni mkazi wa Dar Wilaya ya Ubungo
Nianzie wapi na natakiwa kumuona nani nikiwa na nini
Kinachukua muda gani kukipata mara baada ya kukamilisha taratibu na mahitaji yote
NB. Najua ngeweza kupata taarifa hizi moja kwa moja kwa wahusika,lakini nimekuja hapa walau kujipanga kwa maandalizi
Asanteni Kwa ushirikiano