Msaada:jinsi ya ku recover akaunti ya google

Mparee Halisi

Senior Member
Jan 4, 2014
104
195
Nilikosea ku Unlock simu yangu kwa kutumia Pattern,sasa inahitaji kufunguliwa kwa kutumia google account,naomba msaada wenu wa kutambua password ya hii account,
Inocentfrank86@gmail.com.Thanks
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,299
2,000
Mhh simu ya wizi? Itakuaje usijue password yako?
 
kashata

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
379
500
Wakuu na mimi nina samsung imejiloki since juzi mpka leo bdo sijaifungua.tusaidieni ba ndugu
 
dmaujanja1

JF-Expert Member
Nov 24, 2008
224
225
Nijuavyo mimi ukienda google site baadaya email na password chini ya neno sign in kuna swali need help? bonyeza hapo atakuomba uandike email yako then atakupa namba zako tatu za mwisho za simu yako ujaze (note ile naba uliyoweka siku una jiunga google) zilizobakia then code itatumwa direct ktk simu yake after that you can easily resotore your account.
nimejaribu naona namba uliyo register imeishia na 63 .
 
Nisaidie bas kaka,ni kweli namba yangu inaishia 63,
 
Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,299
2,000
Nenda https://www.google.com/accounts/recovery chagua I dont know my password, kisha fuata maelekezo. Ila hata ukiwa na password ya gmail mara zengine inakataa kuunlock simu, ikikataa itabidi ufange hard reset na hiyo itafuta data zote kwenye simu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom